answersLogoWhite

0

Neema ya ajabu, sauti tamu kama nini iliyomwokoa masikini kama mimi

Nilikuwa nimepotea lakini sasa nimepatikana, nilikuwa kipofu sasa ninaona

Ni neema iliyoufundisha moyo wangu kutubu na neema iliniondolea hofu zangu

Hiyo neema ilionekana kuwa nzuri kama nini saa ile niliyoamini

Those are the swahili words for the first 2 verses of amazing grace

User Avatar

Wiki User

13y ago

What else can I help you with?